When autocomplete results are available use up and down arrows to review and enter to select. Touch device users, explore by touch or with swipe gestures.
Jinsi ya Kuzima Bluetooth Kwenye Android TV Yoyote | Wireless headphones for tv, Bluetooth, Headphones for tv
Jinsi ya Kuzima Bluetooth Kwenye Android TV Yoyote
Kama wewe ni mmoja wa wamiliki wa TV za Android basi ni wazi kuwa umeshakutana na tatizo la bluetooth kuwa ON kila wakati na hii kufanya watu (majirani) kujaribu kuunganisha bluetooth kwenye TV yako kila mara bila ruhusa na kusumbua TV yako na jumbe za ku-pair bluetooth. Kama unavyojua TV nyingi za Android hazina sehemu […]